Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF”pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (katikati) akizungumza na wafanyakazi wa Kituo cha Afya Fujoni Kaskazini “B” Unguja leo,wakati alipomuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi hiyo katika ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya Afya (kulia) Daktari Dhamana wa Wilaya ya kaskazini “B” Unguja Dr.Ibrahim Haji Makame na Katibu wa “ZMBF” Bi.Mwanaidi Muhamed Ali.[Picha na Ikulu] 09/11/2022. Baadhi ya Vifaa vya Afya vilivyotolewa na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” chini ya Mwenyekiti wake Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ambapo Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF”pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (hayupo pichani) alivikabidhi katika kituo cha Afya Bumbwini Makoba leo,[Picha na Ikulu] 09/11/2022.
Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF”pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (katikati) akimkabidhi Daktari Dhamana wa Wilaya ya kaskazini “B” Unguja Dr.Ibrahim Haji Makame (kulia) Vifaa mbali mbali vya Afya vilivyotolewa na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” chini ya Mwenyekiti wake Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,(kushoto) Katibu wa Taasisi hiyo Bi.Mwanaidi Muhamed Ali.[Picha na Ikulu] 09/11/2022.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kituo cha Afya Fujoni Kaskazini “B” Unguja na Maafisa mbali mbali wakimsikiliza Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF”pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wafanyakazi wa Kituo hicho leo,wakati alipomuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi hiyo katika ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya Afya,hafla iliyofanyika kituoni hapo.[Picha na Ikulu] 09/11/2022.