***********
TAWA yasapoti miradi mingi ya Maendeleo katika maeneo Mbalimbali. Vijiji vyafurahia Uhifadhi na utalii katika maeneo yao. Jumla ya shilingi 340,301,000 imekwisha tumika kusapoti ujenzi wa madarasa na vyoo katika shule 10, Vituo vya afya 3 Visima vya wananchi 14 mabwawa ya uvuvu 2, ukarabati wa soko la samaki na kusaidia vikundi katika shughuli zao.
Maeneo yaliyonufaika ni Kondoa, ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa Zahanati za Idindiri, Mauno, Bomangombe na Ihari.
Kibondo, Kaliua, Bunda,Kilwa,Kilwa Masasi Njinjo Napacho na Masuguru.