NA K-VIS
BLOG/Khalfan Said
BLOG/Khalfan Said
SERIKALI imeipongeza Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na
Kijamii Nchini (ESRF) kwa kuelewa agenda ya taifa ya kuleta maendeleo kwa
wananchi kwa kuja na mkakati wenye manufaa wa kutoa mafunzo ya tafiti za aina
mbalimbali juu ya upimaji wa matokeo mwishoni mwa mradi (Impact Evaluation
Laboratory) kwa watumishi wa Umma na wale wa Mashirika yasiyo ya kiserikali.

Akizindua Program ya miaka miwili kuwajengea uwezo
Watanzania katika kufanya utafiti wa aina mbalimbali unaohusiana na upimaji wa
matokeo (Impact Evaluation Laboratory) kwenye ukumbi wa Taasisi ya Utafiti wa
Kiuchumi na Kijamii Nchini (ESRF) jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2019, Naibu
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi, Mary Maganga amesema, mafunzo hayo
yatasaidia sana wataalamu hapa nchini kutoka Serikalini sambamba na wataalamu
kutoka taasisi binafsi na Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs).

Alisema Serikali ya Awamau ya Tano chini ya uongozi
wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli,
imetambua umuhimu wa kuwaletea maendeleo wananchi ambapo tangu iingie
madarakani imekuwa ikitekeelza miradi yenye matokeo chanya kwa ustawi wa
wananchi.

“Hii imekuwa ikisisitizwa na Rais mara kwa mara na
kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo Serikali imekuwa ikitenga kiasi cha asilimia
37 ya bajeti yake kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.” Alifafanua Bi.
Mary.

Alisema kwa sasa Serikali kuu inatekeleza miradi
mikubwa ya kimkakati ya miundombinu kama vile ujenzi wa reli ya kisasa Standard
Gauge (SGR), Mradi wa umeme wa maji wa Julius Nyerere wa Megawati 2115 (JNHPP),
Barabara, Madaraja na Miradi mingine mingi ambayo inaendelea kutekelezwa.

Hali kadhalika Bi. Mary alisema katika Serikali za
Mitaa miradi ya kijamii katika maeneo ya afya, elimu na mingine ya kimkakati
nayo pia inatekelezwa. Aidha Mashirika ya umma, binafsi, NGOs na wadau wa
maendeleo, pia wanasaidia jitihada hizi za serikali za kuinua ustawi wa

“Ili kuratibu miradi hii ya maendeleo kunahitajika
timu ya wataalamu kama ninyi ambao mtakuwa na uwezo wa kufanya tafiti za
kisayansi za matokeo ya miradi hii baada ya kukamilika.” Alisema Bi. Mary.

Profesa Fortunata Makene – Mkuu wa idara ya Utafiti na
Machapisho (ESRF) akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii Nchini (ESRF), Dkt.Tausi Mbaga Kida, alisema kwa
takriban miaka minne mfululizo ESRF imekuwa ikijielekeza kuwajengea uwezo
wataalamu wa hapa nchini kuhusu upimaji wa matokeo mwishoni mwa mradi (impact
evaluation)

“Mnamo mwaka 2015 Taasisi ilitangaza na kuendesha
mafunzo ya wiki moja kuhusu upimaji wa matokeo ambapo wanafunzi 17, na
tulirudia kutoa mafunzo kama haya mwaka 2016, 2017.” Alibainisha Profesa
Makene.

Mwaka jana 2018 ESRF ilipata ufadhili kutoka Taasisi
ya William na Flora Hewlett na kupitia ufadhili huo ESRF ilitoa mafunzo
ya wiki tatu kwa wanafunzi 40 ambao ni pamoja na watafiti wa Sera na Mameneja
Miradi lakini pia tulitoa mafunzo ya wiki moja kwa watumishi 20 wa Serikali.

Kutokana na mafanikio hayo ya mwaka 2018, mwaka huu wa
2019 ESRF ilipokea ufadhili wa pili ili kuanzisha Impact Evaluation
Laboratory.

“Impact Evaluation Laboratory ni mradi wa miaka miwili
kujengea uwezo Watanzania katika kufanya utafiti wa aina mbalimbali unaohusiana
na upimaji wa matokeo (Impact Evaluation) ambao umeandaliwa na unatekelezwa na
ESRF.

Naibu
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi, Mary Maganga, akitoa hotuba yake wakati akizundua Programu ya Impact Evaluation Laboratory kwenye ukumbi wa mikutano wa Taasisi
ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii Nchini
(ESRF) jijini Dar es Salaam, Septemba 23, 2019.

(ESRF) jijini Dar es Salaam, Septemba 23, 2019. Katikati ni Profesa Fortunata Makene na Mkufunzi wa mafunzo hayo Bw.Costantine Manda

Mkuu
wa Idara ya Mikakati ya Utafiti na Machapisho (ESRP), Profesa
Fortunata Makene, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo, Dkt. Tausi Mbaga Kida, akizungumza wakati wa uzinduzi huo.

Mratibu wa mafunzo, ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya uwezeshaji na maendeleo ESRF, Bw.Danford Songo, akieleza nia ya mafunzo hayo.
Mkufunzi wa mafunzo hayo, ambaye pia ndiye Mkurugenzi wa Programu ya Impact Evaluation Laboratory, Bw.Costantine Manda, akitoa “somo”
Mkufunzi wa mafunzo hayo, Bw.Costantine Manda, akitoa mafunzo hayo.
Washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo
Washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo
Mshiriki akizungumza.
Washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo
Washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo
Washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo
Naibu
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi, Mary Maganga (kulia), akizungumza jambo na Mwezeshaji (Trainer) ambaye pia ndiye Mkurugenzi wa Programu ya Ipmact Evaluation Laboratory, Bw. Costantine Manda

Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi, Mary Maganga (kulia), akisalimiana na mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo kutoka Ofisi ya Rais, Bw. Joseph Mwacha, huku mratibu wa mafunzo hayo ambaye ni Mkuu wa Idara ya uwezeshaji na maendeleo ESRF, Bw.Danford Songo akishuhudia.

Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi, Mary Maganga (kulia), akifurahia jambo na Mkuu wa Idara ya uwezeshaji na maendeleo ESRF, Bw.Danford Songo.

Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi, Mary Maganga (kushoto) akisalimiana na Mkuu
wa Idara ya Mikakati ya Utafiti na Machapisho (SRP), wa Taasisi hiyo, Profesa
Fortunata Makene

Mgeni rasmi katika Picha ya pamoja baada ya uzinduzi.