**********************
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WILAYA ya Simanjiro Mkoani Manyara, unaweza kusema imezizima kwa namna mapokezi ya viongozi washindi wa CCM walipokuwa wanatoka Mji mdogo wa Orkesumet, Landanai na Mji mdogo wa Mirerani ili kumsindikiza Mwenyekiti mpya wa CCM Kiria Ormemei Kurian Laizer kwenda nyumbani kwake Kata ya Naisinyai.