Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais  Muungano na Mazingira Dkt. Suleiman Jafo akishuhudia Ofisa wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Claudia Manyanda pamoja na maofisa wenzake  wakati wakipanda mti alipotembelea kwenye  maonesho ya 5 ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mkoani Geita serikali inahimiza Taasisi, Mashirika pamoja na wananchi mbalimbali kupanda miti ili kutunza mazingira. 

Ofisa wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Claudia Manyanda pamoja na maofisa wenzake  wakifurahia jambo wakati wakipanda mti wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira alipotembelea kwenye  maonesho ya 5 ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mkoani Geita. 

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais  Muungano na Mazingira Dkt. Suleiman Jafo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Bi. Zahra Michuzi wakifurahia jambo pamoja na Maofisa wa Benki Kuu ya Tanzania BoT mara baada ya kupanda katika viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita wakati alipotembelea   kwenye  maonesho  hayo ya 5 ya teknolojia ya madini yanayofanyika mkoani humo.