Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi
(kulia) akimpokea Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk. Ali Possi aliyeteuliwa
kushika nafasi hiyo akitokea Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mapema hii leo katika
ofisi ndogo za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi
(kulia) akizungumza na Naibu KatibuMkuu wa Wizara hiyo Dk. Ali Possi aliyeteuliwa
kushika nafasi hiyo akitokea Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mapema hii leo katika
ofisi ndogo za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam
23 Septemba, 2019