Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akijibu hoja Mbalimbali za Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JNPP) kilichofanyika leo tarehe 2 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dustan Kitandula akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JNPP) katika kikao kilichofanyika leo tarehe 2 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu kamati wa kamati hiyo, Ndg. Onesmo Laulau
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Mohamed Said Issa akichangia jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JNPP) katika kikao kilichofanyika leo tarehe 2 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dustan Kitandula akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JNPP) katika kikao kilichofanyika leo tarehe 2 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Ndg. Maharage Chande akijibu hoja Mbalimbali za Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JNPP) kilichofanyika leo tarehe 2 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JNPP) kilichofanyika leo tarehe 2 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)