MKUU wa Mkoa wa Tanga Omari Mgumba akizungumza wakati wa bonanza hilo
kushoto ni Mwenyekiti wa Tanga Press Club Lulu George akifuatiiwa na
Bondia Mwakinyo na Afisa Michezo Mkoa wa Tanga Digna Tesha
MKUU wa Mkoa wa Tanga Omari Mgumba akizungumza wakati wa bonanza hilo
kushoto ni Mwenyekiti wa Tanga Press Club Lulu George akifuatiiwa na
Bondia Mwakinyo na Afisa Michezo Mkoa wa Tanga Digna TeshaMKUU
wa Mkoa wa Tanga Omari Mgumba kulia akiwa na Mwenyekiti wa Tanga Press
Club Lulu George na Bondia Hassani Mwakinyo wakifuatilia bonanza hilo
MKUU wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandiliwa akizungyumza wakati wa bonanza hilo
Na
Mwandishi Wetu,TANGA.
Bonanza
la Mama Tumeikita lenye lengo la kuhamasisha zoezi la Sensa ya Watu na Makazi
Mkoani Tanga ikiwemo kutambua jitihaza za Rais Samia Suluhu katika maendeleo ya
Taifa hapa .
Bonanza
hilo ambalo liliandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Tanga *TPC*limefanyika
mwishoni mwa wiki Jijini Tanga kwenye viwanja vya Disuza kwa kushirikisha viongozi
mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omari Mgumba.
Akizungumza
mara baada ya kumalizika kwa Bonanza hilo Mkuu wa Mkoa Mgumba alisema
aliupongeza uongozi wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Tanga chini ya
Mwenyekiti wake Lulu George kwa kuanza na kuratibu bonanza hilo ambalo lilikuwa
la aina yake.
Alisema
ubunifu ambao umefanywa na uongozi wa klabu hiyo unapaswa kuungwa mkono huku
akisema bonanza hilo limefanikiwa sana
huku akiwataka viongozi hao kuhakikisha linakuwa endelevu mara kwa mara
na kuwahaidi ushirikiano.
“Niwapongeze
Tanga Press Club kwa ubunifu huu mkubwa mlioufanya kwa kuhamasisha zoezi la
Sensa ya Watu na Makazi na kutambua juhudi za Rais kuwaletea maendeleo wa Tanga
limefanikiwa sana nimpongeza Mwenyekiti wa TPC na viongozi wengine kwa
kufanikisha bonanza hilo ambalo limewakutanisha pamoja wanajamii wote wa
Tanga,viongozi wa mkoa wilaya mpaka vitongoji na waandishi wa habari”Alisema
Alisema
kwamba amefurahishwa kwamba na kupendwa na ujumbe uliobebwa kwenye bonanza hilo
mama huku akisisitiza umuhimu wa jamii ya wana Tanga kuhakikisha wanaendelea
kushiriki zoezi la Sensa ya watu na Makazi ikiwemo kuendelea kuwahabarisha wana
Tanga.
Awali akizungumza
wakati wa Bonanza hilo Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa aliushukuru
uongozi wa Tanga Press Club kuweza kuliandaa bonanza hilo ambalo
limewakutanisha wadau mbalimbali kuishiriki katika michezo ambayo ni muhimu
kiafya.
Mkuu
huyo wa wilaya aliwataka waandishi wa habari mkoani humo waendelee kuboresha
mahusiano baina yao kwa wao na taasisi mbalimbali za serikali na kupitia wao
wanaweza kuwa na mabonanza mbalimbali huku akiwaomba waone umuhimu wa kufanya