Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiongoza mbio za hisani za CRDB Bank Marathon maalum kwaajili ya kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo na wakina mama wenye ujauzito hatarishi zilizofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 14 Agosti 2022.(Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Mussa Zungu pamoja na Mkurugenzi Mtendaji CRDB Bank Abdulmajid Nsekela. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango pamoja na Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Pauline Gekuli).Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na washiriki wa mbio za hisani za CRDB Bank Marathon maalum kwaajili ya kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo na wakina mama wenye ujauzito hatarishi zilizofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 14 Agosti 2022.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT Brenda Msangi mfano wa hundi ya shilingi milioni 220 zilizopatikana kutokana na mbio za hisani za CRDB Bank Marathon maalum kwaajili ya kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo na wakina mama wenye ujauzito hatarishi zilizofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 14 Agosti 2022.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Dkt. Delilah Kimambo mfano wa hundi ya shilingi milioni 250 zilizopatikana kutokana na mbio za hisani za CRDB Bank Marathon maalum kwaajili ya kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo na wakina mama wenye ujauzito hatarishi zilizofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 14 Agosti 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea medali ya kumaliza kilometa 5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya CRDB Dkt. Ally Laay wakati wa kuhitimisha mbio za hisani za CRDB Bank Marathon maalum kwaajili ya kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo na wakina mama wenye ujauzito hatarishi zilizofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 14 Agosti 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na washindi mbalimbali wa mbio za hisani za CRDB Bank Marathon maalum kwaajili ya kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo na wakina mama wenye ujauzito hatarishi zilizofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 14 Agosti 2022. Kushoto kwa Makamu wa Rais ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji CRDB Bank Abdulmajid Nsekela.