Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwasili Mamsera, Rombo mkoani Kilimanjaro kujionea maendeleo ya ujenzi wa shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa akiwa na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Kilimanjaro wakati alipotembelea mradi ujenzi wa shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rombo Ndugu Anthony Joachim Tesha (kushoto) mara baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa Namsera, Rombo mkoani Kilimanjaro mara baada ya kutembelea na kujionea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Nurdin Babu mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025.
************************
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiweka shada la maua katika kaburi la wanafunzi 38 wa shule ya Sekondari ya Shauritanga waliopoteza Maisha yao katika ajali ya moto iliyotokea tarehe 18 Juni 1994.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akiweka shada la maua katika kaburi la wanafunzi 38 wa shule ya Sekondari ya Shauritanga waliopoteza Maisha yao katika ajali ya moto iliyotokea tarehe 18 Juni 1994.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa pamoja na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga na Vipngozi wengine wa Chama na Serikali wakitoa heshima mbele ya kaburi la wanafunzi 38 wa shule ya Sekondari ya Shauritanga waliopoteza Maisha yao katika ajali ya moto iliyotokea tarehe 18 Juni 1994.