Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano Mhandisi Isack Kamwelwe akikagua Mabanda ya Wajasiriamali na Taasisi mbalimbali katika Maonyesho ya Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Kusini (SADC) Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi, na Hali ya Hewa leo, Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano Mhandisi Isack Kamwelwe
akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa
Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya kusini (SADC) Sekta ya
Tehama, Habari, Uchukuzi, na Hali ya Hewa leo, Jijini Dar es Salaam.