Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akifungua pazia kuzindua madarasa 3 ya Skuli ya Maandalizi Unguja Ukuu yaliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ufadhili wa Mkopo nafuu wa Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF),chini ya Mkandarasi Kikosi cha Jeshi Zimamoto Zanzibar katika ziara ya Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipofuatana na Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Mhe.Rashi Hadid Rashid na Viongozi wa Wizara ya Elimu alipotemelea madarasa 3 ya Skuli ya Maandalizi Unguja Ukuu mara baada ya kuyazindua rasmi leo akiwa katika ziara ya Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi ya maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) alipokuwa akimsikiliza Mkandarasi ujenzi Mkuu wa Kikosi cha jeshi la Zimamoto Kamisha Rashid Mzee Adalla,kuhusu michoro ya ujenzi wa madarasa matano (5) ya Skuli ya Msingi Unguja Ukuu yaliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ufadhili wa Mkopo nafuu wa Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF),akiwa katika ziara ya Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akikata utepe kuzindua ujenzi wa madarasa mapya matano (5) ya Skuli ya Msingi Unguja Ukuu yaliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ufadhili wa Mkopo nafuu wa Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF),akiwa katika ziara ya Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kushoto)Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Ali Abdalla Gulam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa akitoa maelezo alipotemelea moja ya madarasa mapya matano (5) ya Skuli ya Msingi Unguja Ukuu yaliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ufadhili wa Mkopo nafuu wa Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF),akiwa katika ziara ya Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Ali Abdalla Gulam na Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wananchi,Walimu na Wanafunzi katika sherehe ya uzinduzi wa madarasa mapya matano (5) ya Skuli ya Msingi Unguja Ukuu yaliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ufadhili wa Mkopo nafuu wa Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF),akiwa katika ziara ya Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja. [Picha na Ikulu