NA MWANDISHI WETU, KIGOMA
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya, Rajabu Abdul ‘Hermonize’ anatarajia kuwaburudisha wakazi wa Kigoma na maeneo ya karibu itakayofanyika Julai 30, Kidyama Beach mkoani humo.
Akizungumza jana, Mkurugenzi wa Kidyama Beach, Grace Mbiro pamoja na Harmonize wasanii wengine watatoa burudani katika ufukwe huo.
“Harmonize na wasanii wengine watafikisha ujumbe kwa jamii kupitia kazi zao, nawaomba mashabiki mjitokeze kwa wingi kwenye shoo hiyo,” alisema Mbiro.
Aidha Mbwilo aliweka hadharani viingilio ni shilingi 10000 mlangoni na VIP ni Sh. 3000