Afisa Uhusiano ZRB Makame Khamis Mohamed akizungumza machache katika Mdahalo kuhusu Kodi kwa Skuli za Sekondary Kanda ya Unguja uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Kampasi ya Vuga Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 20 ya Bodi ya Mapato Zanzibar.
Baadhi ya Walimu na Wanafunzi kutoka Skuli za Sekondary walioshiriki kuhusu Kodi kwa Skuli za Sekondary Kanda ya Unguja uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Kampasi ya Vuga Zanzibar. Ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 20 ya Bodi ya Mapato Zanzibar.
Kiongozi wa Majaji Mussa Said Salum akizungumza machache katika Mdahalo kuhusu Kodi kwa Skuli za Sekondary Kanda ya Unguja uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Kampasi ya Vuga Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 20 ya Bodi ya Mapato Zanzibar.
Afisa Elimu ZRB Raya Suleiman Abdalla akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mdahalo kuhusu Kodi kwa Skuli za Sekondary Kanda ya Unguja uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Kampasi ya Vuga Zanzibar. Ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 20 ya Bodi ya Mapato Zanzibar.
Mwanafunzi Kutoka Skuli ya Sekondary ya Biashara Mombasa Haidar Suleiman Rashid akiwasilisha mada katika Mdahalo kuhusu Kodi kwa Skuli za Sekondary Kanda ya Unguja uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Kampasi ya Vuga Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 20 ya Bodi ya Mapato Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR.