Mndolwa (katikati), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kupata faida ya
shilingi Bilioni 19.7 kwa mwaka ulioishia Desemba 31 2021 hatua inayo tajwa kuwa
yamafanikio na kuimarika kwa benki hiyo ambayo ni muunganiko wa iliyokuwa benki
ya TPB na TIB Corparate.
Afisa MtendajiMkuuwa Tanzania Commercial Bank TCB,
Sabasaba Moshingi akizungumza wakati wa hafla ya kutangaza faida ya shilingi Bilioni
19.7 kwa mwaka ulioishia Desemba 31 2021 hatua inayotajwa kuwa ya mafanikio na kuimarika
kwa benki hiyo ambayo ni muunganiko wa iliyokuwa benki ya TPB na TIB Corparate.
Mwenyekitiwabodiya Tanzania Commercial Bank Dkt. Edmund
Mndolwa (katikati), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kupatafaida ya shilingi
Bilioni 19.7 iliyopata benki hiyo wa pilikulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa
Tanzania Commercial Bank TCB, Sabasaba Moshingi pamoja na maafisa wengine wa benki
hiyo
Tanzania Commercial Bank TCB imetangaza kupata faida ya shilingi Bilioni 19.7 kwa mwakaulioishiaDesemba
31 2021 hatua inayotajwa kuwa ya mafanikio na kuimarika kwa benki hiyo ambayo ni
muunganiko wa iliyokuwa benki ya TPB na TIB Corparate.
Mwenyekitiwabodiya Tanzania Commercial
Bank Dkt. Edmund Mndolwa ametoa taarifahiyo katika mkutano wa mwaka wa wanahisa
wa benki hiyo uliofanyika jijini Dar esSalaam
nakusema kuwa faida hiyo ni kabla ya kodi.
Faida iliyopatikana mwaka 2021
inatajwa na uongozi wa benki kuwa ni kubwa kufuatia ile ya mwaka 2020 ambayo haijawahi
kufikiwa tangu kuanzishwa kwa Benki ya TCB takriban miaka 95 iliyopita
Amepongeza uongozi pamoja na wafanyakazi
wa Tanzania Commercial Bank kwakuchangia mafanikio hayo licha ya changamoto zamdororo
wauchumi uliosababishwa na wimbi la ugonjwawa UVOKO-19 ambao pia umeathiri uchumi wamataifa mengi duniani.
Kwaupande wake Afisa Mtendaji Mkuuwa
Tanzania Commercial Bank TCB, Sabasaba Moshingi amesema kufuatia mafanikio hayo,
wanahisa wamekubaliana kutoa gawio la hisa na kuelekeza kwenye kuimarisha mtaji
wa Benki.
Mafanikio hayo pia wamewezesha
amana za wateja kuongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 1.18 mwaka 2021
kutoka shilingi trilioni 1.04 huku mikoponayo ikiongezeka hadi kufikia shilingi
bilioni 718.6 kutoka bilioni 617.81
Tanzania Commercial Bank TCB imekuwa
ikifanya kazi na wafanyabiashara kuanzia mfanyabiashara mdogo, wakati na mkubwa
nakuhakikisha kila mwananchi anapata huduma kutoka benki ya TCB kila kona ya Tanzania na mipaka yake.