Wananchi mbalimbali wajitokeza kuchangia Damu katika Siku ya Maadhimisho ya siku ya Uchangiaji Damu Duniani yaliofanyika katika Uwanja wa Ofisi ya Benki ya Damu Sebleni Zanzibar ,ambapo kauli mbiu ni Kuchangia Damu ni Kitendo cha Mshikamano Tuungane Tuokoe maisha.
Mfamasia kutoka Skuli ya Afya Zanzibar(Zanzibar School of Helth-ZSH)Kassim Juma Mohamed akitoa Elimu ya Afya kwa wananchi mbalimbali waliofika katika Siku ya Maadhimisho ya siku ya Uchangiaji Damu Duniani yaliofanyika katika Uwanja wa Ofisi ya Benki ya Damu Sebleni Zanzibar ,ambapo kauli mbiu ni Kuchangia Damu ni Kitendo cha Mshikamano Tuungane Tuokoe maisha.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk,Fatma Mrisho akitoa hotuba katika Siku ya Maadhimisho ya siku ya Uchangiaji Damu Duniani yaliofanyika katika Uwanja wa Ofisi ya Benki ya Damu Sebleni Zanzibar , ambapo kauli mbiu ni Kuchangia Damu ni Kitendo cha Mshikamano Tuungane Tuokoe maisha.
Naibu Waziri wa Afya Hassan Khamis Hafidh akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya siku ya Uchangiaji Damu Duniani yaliofanyika katika Uwanja wa Ofisi ya Benki ya Damu Sebleni Zanzibar ambapo kauli mbiu ni Kuchangia Damu ni Kitendo cha Mshikamano Tuungane Tuokoe maisha.
Waziri wa Habari ,Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akitoa hotuba ya Maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani yaliofanyika katika Uwanja wa Ofisi ya Benki ya Damu Sebleni Zanzibar , ambapo kauli mbiu ni Kuchangia Damu ni Kitendo cha Mshikamano Tuungane Tuokoe maisha.