Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akisaliiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Meatu Ndugu Juma Mwiburi baada ya kuwasili katika kata ya Sanga Itinje Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Maswa , Chongolo yuko katika ziara ya kikazi ya siku 9 kukagua uhai. Wa Chama na Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akivishwa skafu na vijana Awa UVCCM mara baada ya kuwasili katika kata ya Snaga Itinje Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Maswa , Chongolo yuko katika ziara ya kikazi ya siku 9 kukagua uhai. Wa Chama na Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akiongozana na Mwenyekiti wa CCM mkoani Simiyu Bi. Shamsa Mohammed baada ya kuwasili katika kata ya Sanga Itinje Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Maswa.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na viongozi mbalimbali mkoani Simiyu baada ya kuwasili katika kata ya Sanga Itinje Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Maswa.
Vikundi vya ngoma vikitumbiza katika mapokezi hayo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoani Simiyu Bi. Shamsa Mohammed kulia na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Meatu Ndugu Juma Mwiburi wakiangalia ngoma mara baada ya kuwasili wilayani humo.
Baadhi ya wana CCM waliofika kupokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo.