NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Emmanuel Tutuba,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
Kamishna Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bw.Frederick Mwakibinga,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Lawrence Mafuru mara baada ya kuzindua Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akimkabidhi Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Jenifa Omolo, mara baada ya kuzindua Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akimkabidhi Kamishna wa Uhamiaji Bi.Musanga Etimba, mara baada ya kuzindua Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akimkabidhi Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) Eliakin Maswi, mara baada ya kuzindua Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akimkabidhi Afisa Mwandamizi wa Sheria kutoka Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) Violet Limilabo, mara baada ya kuzindua Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akimkabidhi Mkurugenzi wa Maendeleo ya Taaluma (PSPTB) Bw.Amos Kazinza, mara baada ya kuzindua Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akiwa katika picha na viongozi waliokabidhiwa vitendea kazi mara baada ya kuzindua Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Kanuni za Maadili kwa Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma hafla iliyofanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma.
………………………………………….
Na Alex Sonna-DODOMA
NAIBU Waziri Fedha na Mipango ,Hamad Hassan Chande,amezindua kanuni za maadili kwa watumishi wa umma na wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za ununuzi wa umma.
Uzinduzi huo umefanyika leo Mei 31,2022 jijini Dodoma,Chade amewataka watumishi wa Idara ya Ununuzi kufuata sheria na kanuni za manunuzi.
Amewataka watumishi wa manunuzi ya umma kuacha tabia ya ukiukwaji wa maadili katika kufanya manunuzi kwa sababu wanaisababishia serikali hasara kutokana na tabia hiyo.
“Serikali itaendelea kuchukulia hatua kali kwa watumishi wale watakaokiuka sheria na kanuni katika manunuzi ya umma ”amesema Mhe.Chande.
Aidha amekumbusha kuwa Serikali inawategemea idara ya manunuzi kwa sababu kwa asilimia kubwa ya fedha za serikali zinapitia kwa watu hao .
Kwa upande wake katibu Mkuu wizara ya Fedha na Mipango ,Emmanuel Tutuba amesema kuwa kanuni hizo zitawahusu watu wa manunuzi na watoa huduma wote.
‘Uzinduzi huo umewashirikisha idara zote za manunuzi ya umma pamoja na wadu wengine wa manunuzi.’amesema Tutuba
Naye Kamishna wa Sera na Manunuzi ya Umma Wizara ya Fedha na Mipango ,Fedrick Mwakibinga almesema kuwa kanuni hizo zilizozinduliwa ni mwongozo kwa ajili ya manunuzi yote ya umma.
Aidha amesema kuwa kutungwa kwa kanununi hizo ilitokana na matatizo yaliyoonekana kwenye manununuzi ya umma hivyo wizara ikaamua ya kutunga kanuni hizo