Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kabla ya mazungumzo yao kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)