RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Sala ya Magharibi iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA), wakati wa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika kwa Sala ya Magharibi iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) wakati wa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja (hawapo pichani) katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Mabodi na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaabi.(Picha na Ikulu)