Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Wajumbe wa Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Wilaya ya Ilala katika ukumbi wa Arnatoglo, Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria Kikao cha Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Wilaya ya Ilala ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Arnatoglo, Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Sehemu ya Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dar Es Salaam walioshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Wilaya ya Ilala ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Arnatoglo, Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.(Picha na CCM Makao Makuu)