Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge wakati alipoingia bungeni jijini Dodoma, Aprili 21,2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)