Wanafunzi kutoka Chuo Cha Antwerpen wakitoa Mafunzo ya Vitendo ya Virtual Reality (VR) kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Mafunzo hayo yamefanyika katika Taasisi hiyo.
Miaka miwili iliyopita, nilikuwa nikifanya biashara yangu kwa matumaini makubwa. Biashara ilikuwa inaendelea vizuri na nilikuwa nimejijengea wateja wengi wa kudumu. Kwa sababu ya…