Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jaffo (katikati) akiwa kwenye zoezi la upandaji miti katika kampeni ya wasaa wa mazingira (Earth Hour) yenye lengo la kuhamasisha upandaji miti ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, Kampeni hiyo ilifanyika wilayani Kisarawe, taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo ni mdau wa mazingira wameshirikiana na WWF katika kupanda na kusimamia miti wilayani humo. Wa kwanza kushoto ni Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald