Na Mwamvua Mwinyi
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze Leo anakumbuka siku ambayo Miaka nane (8) alisimamishwa mbele ya Umma wa Wanachalinze kuwaomba wamuunge Mkono yeye na Chama Chake -CCM ili kupate fursa kushirikiana nao kuleta maendeleo na kutatua changamoto zinazotukabili.
Miaka 8 baadae mafanikio makubwa katika nyanja mbalimbali yanaonekana. Anawashukuru sana kwa imani kubwa aliyoonyeshwa na Wananchi wa Jimbo lake. #TupoPamojaSana #KaziInaendelea