Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao lake la pili dakika ya 55 baada ya kufunga lingine dakika ya 42 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Kevin de Bruyne dakika ya pili na Bernardo Silva dakika ya 79 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN CITY YAICHAPA 4-0 BRIGHTON ,AGUERO ATUPIA MBILI
By Alex Sonna
September 1, 2019 | 4:15 am

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
SERENGETI BOYS YATIKISA AFRIKA, YATINGA FAINALI YA AFCON U-17
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Vijana ya Tanzania, Serengeti Boys, imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika…
Michezo
2 days ago
