Washindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Lipo pale pale, Miraji Zubery (wa pili kushoto) na Faustine Boay  (wapili kulia) wakazi wa Babati ambao  wamejishindia zawadi ya  smart Tv kutoka Vodacom mara baada ya  kukabidhiwa zawadi zao kutoka kwa Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom kanda ya Kaskazini  Nathan George (kulia) akishirikiana na Meneja mauzo Nanyaro Kaanankira (wa tatu kushoto) Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika mjini Babati

Meneja Mauzo wa Mkoa wa Manyara, Julieth Makembe (kushoto) akikabidhi zawadi kwa mmoja kati ya washindi waliojishindia simu