Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 26/08/2019.
Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi (kushoto) akichangia katika mkutano wa Wizara hiyo wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati),[Picha na Ikulu.] 26/08/2019.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) alipokuwa akichangia wakati wa mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(katikati) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi.Marium Juma Abdalla Saadalia chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 26/08/2019.
Baadhi ya Maofisa katika Wizara ya Kilimo,Maliasilio,Mifugo na Uvuvi wakiwa
katika mkutano wa Wizara hiyo wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati),[Picha na Ikulu.] 26/08/2019.