Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Pindi Chana, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Mnauye, Bungeni jijini Dodoma’
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Masasi, Geofrey Mwambe, nje ya jengo la Bunge jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, nje ya jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, nje ya jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma, Februari 2, 2022. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Handeni, Reuben Kwagilwa na Mbunge wa Mahenge Salim Hasham. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)