Wachezaji wa timu ya Bunge la Tanzania ya mpira wa wavu wakiwa katika mchezo dhidi ya Bunge la Kenya katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo Jijini Arusha, Disemba 14, 2021.
Wachezaji wa timu ya Bunge la Tanzania ya mpira wa wavu wakishangilia goli kwa namna yake dhidi ya Bunge la Kenya katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo Jijini Arusha, Disemba 14, 2021.
Wachezaji na mashabiki wa timu ya Bunge la Tanzania ya mpira wa wavu wakishangilia ushindi dhidi ya Bunge la Kenya katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo Jijini Arusha, Disemba 14, 2021.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)