Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimsikiliza Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), wakipongezana na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.