Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa  UNDP hapa Tanzania Bibi Christin Musisi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha 

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza  Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .[Picha na Ikulu