Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,[
.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,
Baadhi ya Viongozi mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk (kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu deni la Umeme la ZECO ambalo limefutwa na Kampuni ya TANESCO wakati wa mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Mshauri wa Rais katika Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe,Burhani Saadat Haji (kushoto) akichangia wakati wa mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Naibu wa Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Juma Makungu Juma(kulia) [Picha na Ikulu.] 21/08/2019.