Nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Tanzania, Mhe. Cosato Chumi (mwenye bluu) akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge wakisalimiana na wachezaji wa Bunge la Kenya wakati wa michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea leo katika kiwanja cha Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 17, 2021, ambapo timu ya Bunge la Tanzania iliibuka na ushindi wa goli 2 – 0
Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Bunge la Kenya wakati wa michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea leo katika kiwanja cha Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 17, 2021, ambapo timu ya Bunge la Tanzania iliibuka na ushindi wa goli 2 – 0
Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Tanzania, Mhe. Simai Hassan Sadiq (mwenye bluu) akimtoka mchezaji wa Bunge la Kenya wakati wa michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea leo katika kiwanja cha Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 17, 2021, ambapo timu ya Bunge la Tanzania iliibuka na ushindi wa goli 2 – 0
Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Tanzania (mwenye bluu) akimtoka mchezaji wa Bunge la Kenya wakati wa michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea leo katika kiwanja cha Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 17, 2021, ambapo timu ya Bunge la Tanzania iliibuka na ushindi wa goli 2 – 0
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)