Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari juu ya mafanikio ya Tanzania kuelekea kilele cha sherehe za miaka 60 tangu kupata uhuru katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba.
Na Kassim Nyaki, Dodoma. Leo tarehe 18 Mei, 2026 waheshimiwa wabunge wataendelea kujadili bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii iliyowasilishwa ijumaa iliyopita na…
Serikali imejipanga kuondosha adha ya huduma ya maji kwa wakazi wa Chemba. Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itahakikisha Mradi wa Maji…