Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro Disemba 3, 2021 ameongoza kikao cha Utendaji kazi cha Maofisa Wakuu wa Makao Makuu ya Polisi jijini Dodoma, kujadili utendaji wa kazi za Jeshi hilo, kufanya tathmini ya mafanikio yaliyopatikana, changamoto kwa kipindi kilichopita na kuweka mikakati ya kutekeleza kazi za Polisi kwa ufanisi katika kulinda usalama wa raia na mali zao.
IGP SIRRO AONGOZA KIKAO UTENDAJI KAZI
By Alex Sonna
December 3, 2021 | 12:38 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
53 minutes ago
WATU 702 WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA MOYO MKOANI GEITA
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na tuzo ya mshindi wa tatu kwa taasisi zilizotoa…
Mchanganyiko
3 hours ago
MASAUNI AWATAKA KUHAMA WANAOISHI MAENEO HATARISHI MTO MSIMBAZI
NA; MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wananchi…


