Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Mkurugenzi Mkaazi USAID Nchini Tanzania Kate Somrongsiri na Ujumbe wake  mara walipofika Ofisini kwake na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya .

Mkurugenzi Mkaazi USAID Nchini Tanzania Kate Somrongsiri akimkabidhi zawadi maalum Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui mara walipofika ofisini kwake Mnazimmoja na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya   .

Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akimkabidhi mlango na karafuu ikiwa ni  zawadi maalum kutoka kwa Wizara ya Afya mara walipofika Ofisini  na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya   .   .

PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.