Mgeni rasmi, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa akisalimiana na wachezaji walioshiriki mashindano ya Bara la Afrka ya soka kwa walemavu wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo leo 27 Novemba 2021 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa akizungumza na washiriki wa mashindano ya Bara la Afrka ya soka kwa walemavu wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo leo 27 Novemba 2021 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha Fikra Band kikiimba wimbo maalum kwa ajili ya timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa miguu kwa walemavu ( Tembo Warriors) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Bara la Afrka ya soka kwa walemavu leo 27 Novemba 2021 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (kulia) akiwatunza wanamuziki wa Kikundi cha Fikra Band wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Bara la Afrka ya soka kwa walemavu leo 27 Novemba 2021 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waamuzi na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na Morroco kwa walemavu wakiingia uwanjani tayari kwa ufunguzi wa mashindano ya Bara la Afrka ya soka kwa walemavu leo 27 Novemba 2021 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na Morroco kwa walemavu wakiimba nyimbo za mataifa yao tayari kwa ufunguzi wa mashindano ya Bara la Afrka ya soka kwa walemavu leo 27 Novemba 2021 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Msambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania kwa walemavu (Tembo Warriors), Alfan Kiyanga (jezi namba 10) akijaribu kuwatoka wachzaji wa Morroco wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Bara la Afrka ya soka kwa walemavu leo 27 Novemba 2021 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambapo Tembo Warriors walishinda goli mbili kwa moja.
Watazamaji wakifuatilia mechi ya timu ya Taifa ya Tanzania na Morroco kwa walemavu wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Bara la Afrka ya soka kwa walemavu leo 27 Novemba 2021 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambapo Tembo Warriors walishinda goli mbili kwa moja.
Msanii Dulla Makabila akitoa buruda kwa mashabiki timu ya Taifa ya Tanzania kwa walemavu (Tembo Warriors), wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Bara la Afrka ya soka kwa walemavu leo 27 Novemba 2021 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambapo Tembo Warriors walishinda goli mbili kwa moja.
Picha na Eliphace Marwa –WUSM
Dar es Salaam,