Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuzindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia ambacho kimejumuisha Vikosi vya Ulinzi na Usalama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kabla ya kuzindua rasmi hafla iliyofanyika leo.
Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia wakitoa salamu ya Heshma ya Gwaride rasmi mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipofika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kukizindua kikosi hicho leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kabla ya kukizindua rasmi kikosi hicho hafla iliyofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake wakati alipozindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake wakati alipozindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Lela Mohammed Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake kwa Wadau wa Utalii,Wananchi na Waalikwa mbali mbali wakati alipozindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed ,Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Lela Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mkuu Na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Mohammed Ahmed Said (katikati) na Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa, baada ya kukizindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .
Wageni na Viongozi mbali mbali wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Wadau wa Utalii na waalikwa wengine na Maaskari wa Utalii wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama pamoja na Viongozi wengine wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu