Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 05 Novemba 2021 amemtembelea na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete Ofisi kwake Masaki Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipowasili Ofisi kwake Masaki Dar es salaam. Novemba 5,2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango (wa katikati) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao ofisini kwa Dkt. Kikwete Masaki Dar es salaam. Novemba 5,2021
PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS