Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) ikiwa ni sehemu ya hamasa kuelekea mechi za kufuzu kombe la dunia dhidi ya timu ya Taifa ya Congo na Madagascar, Novemba 05, 2021 katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kapteni wa timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) John Bocco kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip jjjini Dar es salaam Novemba 5, 2021 alikokwenda kutoa hamasa kwa timu hiyo kuelekea mechi za kufuzu kombe la dunia dhidi ya timu ya Taifa ya Congo na Madagascar, Novemba 05, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)