Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa wakati alipo mtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Oktoba 2021. Kushoto Mke wa Mhe. Lowassa Mama Regina Lowassa. PICHA NA IKULU.
RAIS SAMIA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.LOWASSA KUMJULIA HALI
By Alex Sonna
October 26, 2021 | 11:38 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
16 minutes ago
FDH YATOA MSAADA KWA KAYA 150 ZA WATU WENYE ULEMAVU KUKABILIANA NA MVUA ZA EL NIÑO
Shirika la Foundation for Disabilities Hope (FDH) Tanzania limeanza kuchukua hatua za kuwasaidia watu wenye ulemavu na familia zao kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza…
Mchanganyiko
37 minutes ago
DUWASA KONGWA YAIMARISHA HUDUMA YA MAJI, YAWAFIKIA WANANCHI WENYE UWEZO MDOGO
KONGWA, DODOMA — 8 OKTOBA 2026. Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Bi. Lena Mwakisale,…


