Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira, Dkt.Thomas Bwana akizungumza katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam. Afisa Sheria Mwandamizi-Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Bw.Isakwisa Mwamukonda akisisitiza jambo wakati akiwasilisha Mada ya Mfumo wa Kisheria na Usimamizi wa Kemikali zinazo mong’onyoa tabaka la hewa la Ozoni katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam. Afisa Sheria Mwandamizi-Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Bw.Isakwisa Mwamukonda akiwasilisha Mada ya Mfumo wa Kisheria na Usimamizi wa Kemikali zinazo mong’onyoa tabaka la hewa la Ozoni katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam.Meneja kanda ya Mashariki- Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw.Gerald Mollel akiwasilisha Mada ya Usajili na Usimamizi wa kemikali nchini katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam. Afisa Viwango wa Shirika la Viwango Tanzania Bi.Jamila Zaarh akiwasilisha Mada ya Udhibiti wa Kemikali zinazo athiri Tabaka la Ozoni katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi VETA Chang’ombe kilichopo Jijini Dar es Salaam Bw.JJoseph Mwanda akitoa salamu za ukaribisho katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira, Dkt.Thomas Bwana akisoma hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam.Afisa Mazingira Mkoa wa Rukwa Bw.Nicholaus Mchome akichangia mada katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam. Afisa Mazingira Mkoa wa Tanga Bw.Timotheo Sosiya akichangia mada katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam.Afisa Mazingira Mkoa wa Kilimanjaro akichangia mada katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam.
Maafisa wa Mazingira kutoka mikoa mbalimbali nchini wakifuatilia Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam. Maafisa wa Mazingira kutoka mikoa mbalimbali nchini wakifuatilia Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam.
Wadau wa Mazingira wakipata picha ya pamoja katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)
*************************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Wanasayansi duniani wamethibitisha kuongezeka kwa magonjwa ya kansa ya ngozi, uharibifu wa macho kama vile “mtoto wa jicho”. Madhara mengine ni kuharibu fiziolojia ya mimea na michakato ya ukuaji na kusababisha mabadiliko ya bioanuwai katika ikolojia mbalimbali.
Matokeo ya uvumbuzi huu ulisababisha Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Mazingira (UNEP) kufanya tathmini ya kisayansi mwaka 1976 kuamua kuchukua hatua madhubuti kulinda la Ozoni.
Ameyasema hayo leo Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira, Dkt.Thomas Bwana akisoma hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kuhusu utekelezaji wa Hifadhi ya Montreal inayohusu kemikali zinazomong’onyoa tabaka la Ozoni iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Chang’ombe Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika warsha hiyo Dkt.Bwana amesema katika juhudi za kukabiliana na athari katika Tabaka la hewa ya Ozoni, Shirika la Kimataifa la Mazingira (UNEP) ilifanya tathmini nyingine kuanzia miaka ya 2012 na kuthibitisha kuwa kemikali aina ya HFCs ambayo ni mbadala wa kemikali ya CFCs ambayo iliondoshwa, zinachangia ongezeko la joto duniani na hatimaye mabadiliko ya tabianchi.
“Katika kupambana na changamoto zitokanazo na matumizi ya kemikali za HFCs, nchi imechukua hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuridhia Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (1996) na Itifaki yake ya Kyoto (2002) na kwa sasa imeridhia Makubaliano ya Paris Kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi”. Amesema Dkt.Bwana.
Aidha Dkt.Bwana amesisitiza kuhakikisha kuwa uzingatiaji na ufuatiliaji wa utekelezaji wa Kanuni za Usimamizi wa Mazingira (Udhibiti wa Kemikali Zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni) za Mwaka 2007 unasimamiwa ipasavyo.
Warsha hiyo ni ya siku mbili ambapo imefunguliwa leo Oktoba 21, 2021 na kufungwa Oktoba 22, 2021.