Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo mabao mawili dakika za 18 kwa penalti na 67 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Mabao mengine ya United inayofundishwa na kocha Ole Gunnar Solskjaer yalifungwa na Anthony Martial dakika ya 65 na Daniel James dakika ya 81 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
RASHFORD AFUNGA MAWILI MAN UNITED YAICHAPA 4-0 CHELSEA
By Alex Sonna
August 12, 2019 | 5:25 am

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
SIMBA SC “YAMTWANGA” AZAM FC NYUMBANI KWAKE
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara…
Michezo
3 days ago
YANGA SC YAIFUNGA GEITA GOLD KWA TABU, DAR ES SALAAM
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu…
