Pierre-Emerick Aubameyang akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 58 ikiilaza 1-0 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James’ Park PICHA ZAIDI SOMA HAPA
AUBAMEYANG AIPAISHA ARSENAL YAICHAPA 1-0 NEWCASTLE UGENINI
By Alex Sonna
August 12, 2019 | 5:21 am

Related Stories
View all
Michezo
6 hours ago
KOMBE LA EPL KUTUA TANZANIA, GUINNESS KUWAPA MASHABIKI FURSA YA KULISHUHUDIA
Mashabiki wa Ligi Kuu ya England nchini Tanzania wanajiandaa kushuhudia tukio la kipekee baada ya Kombe la Ligi hiyo kutua rasmi nchini kwa mara…
Michezo
17 hours ago
