Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Elisha Kato ambaye ni Mbunifu wa Mfumo wa Kudhibiti mwendo kasi katika magari, wakati alipotembelea mabanda katika uzinduzi wa wiki ya vijana kitaifa Chato, Geita Oktoba 12, 2021.  Wapili kulia ni Mbunifu Mwenza wa Mfumo huo Ronaldo Joseph

waanadamaji wakipita mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika uzinduzi wa wiki ya vijana kitaifa katika uwanja wa Mazaina Chato, Geita

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwapungia waandamaji wakati alipopokea  maandamano ya wananchi katika uzinduzi wa wiki ya vijana kitaifa katika uwanja wa Mazaina Chato, Geita Oktoba 12, 2021. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama  na kulia ni  Waziri wa nchi, afisi ya Makamu wa pili wa Rais, Sera, uratibu na Baraza la Wawakilishi   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)