Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akiwasili katika Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi hizo zilizopo jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) zilizopo jijini Dodoma.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dk. Jim Yonazi,akitoa Salama za Wizara kwa Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,alipotembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akizungumza na watendaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi hizo zilizopo jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akimsikiliza Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew wakati wa ziara yake ya kutembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) zilizopo jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF), Justina Mashiba,wakati akiwasilisha Utekelezaji wa Miradi mbalimbali inayofanywa na UCSAF Visiwani Zanzibar baada ya Waziri huyo kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) zilizopo jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akikabidhiwa Zawadi na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF), Justina Mashiba, baada ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) zilizopo jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kuongea na watendaji wa UCSAF baada ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) zilizopo jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Ujenzi Mhandisi Valentino Chaffu mara baada ya kukagua ujenzi wa Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inayojengwa eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF), Justina Mashiba, baada ya kukagua ujenzi wa Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inayojengwa eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inayojengwa eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Muonekano wa Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inayojengwa eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaibar Mhe. Rahma Kassim Ali,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukagua ujenzi wa Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inayojengwa eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
………………………………………………………………