Meneja mipango kutoka Help Age International Jerome Sam-De Mwaya akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wa kuongeza Uelewa kwa Waandishi juu ya masuala yanayowahusu Wazee na Wajibu wao katika kusukuma utekelezaji wake uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Kidongo chekundu Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha hifadhi ya Jamii Selwa Ali Sheha (kulia)akitoa mada ya Utangulizi wa Mzee na Mazingira yake katika Mkutano wa kuongeza Uelewa kwa Waandishi wa Habari juu ya masuala yanayowahusu Wazee na Wajibu wao katika kusukuma utekelezaji wake uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Kidongo chekundu Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Ustawi wa Jamii na WazeeAbdulla Saleh Omar akitoa hotuba kwa Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa kuongeza Uelewa kwa Waandishi wa Habari juu ya masuala yanayowahusu Wazee na Wajibu wao katika kusukuma utekelezaji wake uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Kidongo chekundu Zanzibar.
Afisa Mwandamizi Idara ya Ustawi wa Jamii na Wazee Dkt,Salum Rashid Mahamed akitoa mada kuhusu Wajibu na majukumu ya Waandishi katika kusukuma utekelezaji wa ajenda za Wazee Nchini katika Mkutano wa kuongeza Uelewa kwa Waandishi wa Habari juu ya masuala yanayowahusu Wazee na Wajibu wao katika kusukuma utekelezaji wake uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Kidongo chekundu Zanzibar.