Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkewe Mary Majaliwa. wakipata maelezo kutoka kwa Rais wa Muungano wa Wachimbaji Wadogo  Tanzania,  John Mbina (wa tatu Kulia) wakati alivyojionea  kazi ya usafishaji wa madini ya dhahabu unavyofanywa na  wachimbaji wadogo  katika banda la Shirikisho hilo kabla ya kufungua  Maoneosho ya Nne ya Tekinolojia ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini, eneo la Bombambili Mjini Geita,  Septemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na  Sarah Masasi ambaye ni  Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Geita Gold Refinery kilichopo Mjini. Geita  baada ya kukitembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka  kwa Meneja Uendeshaji wa  viwanda cha kusafisa Madini ya Dhahabu cha Geita Gold Refinery cha  Mjini Geita, Ahmet Lyal  (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa  kiwanda hicho, Sarah Masasi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)