Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Kasper Mmuya (kushoto) akisaini hati ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser Prado kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Lishe wakati wa hafla fupi ya kukabidhiana msaada huo Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Chakula Duniani (WFP) Sara Gordon Gibson.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Kasper Mmuya akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser Prado kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Lishe. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Chakula Duniani (WFP) Sara Gordon Gibson.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Kasper Mmuya akiwasha gari mara baada ya kukabidhiwa ufunguo wa gari hiyo na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Chakula Duniani (WFP) Sara Gordon Gibson wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser Prado kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za za Lishe.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Kasper Mmuya (kushoto) akipokea ufunguo wa gari kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Chakula Duniani (WFP) Sara Gordon Gibson wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser Prado kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za za Lishe.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Kasper Mmuya akakipokea hati ya makabidhiano msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser Prado kwa ajili ya kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Lishe. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Chakula Duniani (WFP) Sara Gordon Gibson.
Muonekano wa gari aina ya Toyota Landcruser Prado lilolokabidhiwa kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Lishe. Msaada huo umetolewa kwa Ofisi ya Waziri Mkuu na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Chakula Duniani (World Food Programme).
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Kasper Mmuya (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser Prado kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Lishe.